Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Sehemu nzuri kwa tunaopenda Day Dreaming....Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uko log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
katika hiyo avatar wewe uko wapi??afu we kama classmate wangu...???Am Jane Msowoya, na natumua avater yangu halisi,
Wewe ndo unae fake mpaka jina sio halisi
hahahah asante Mkuu fanya hivyo sabuni zote zinaruhusiwaChief wale wa povu la Aerial na Sunlight tuelekee wapi? Naona umewaita wa Omo tu!!
It ain't fair, 'tanua' uwanja wa povu!!!
Acha tu ndugu yangu.......eti mpaka kuna watu huwa wanakuja kutafuta wake humu......ama kweli tuna kazi sanaMfano tu ebu ona Mada iliyoanzishwa na huyu Member anayejiita Curious gal ati anatoa offer ya Valentine ila vigezo alivyovisema mojawapo nikuwa watachangia 50% 50% ambayo ni 11.2 Mill.... is this girl serious?????? Na wapo wengi sana
Kwanza mnaweka avatar nzuri wakati wenyewe wabaya. Sasa naanzaje kuweka avatar mbaya lakini nionekane mbaya. Ubaya tutajuana ukiniona.Jina langu sijui ni romantic au!!! Mkuu nijibu hebu
HahahaKwanza mnaweka avatar nzuri wakati wenyewe wabaya. Sasa naanzaje kuweka avatar mbaya lakini nionekane mbaya. Ubaya tutajuana ukiniona.
Hahahaaaaaaa hahahhaaaaaMfano tu ebu ona Mada iliyoanzishwa na huyu Member anayejiita Curious gal ati anatoa offer ya Valentine ila vigezo alivyovisema mojawapo nikuwa watachangia 50% 50% ambayo ni 11.2 Mill.... is this girl serious?????? Na wapo wengi sana