Maisha na me nimeshayala imetoshaHahaa mkuu nataka kutangaza nia na wewe nikutie ndani ule maisha.....
NakupaMimi hunipi pole?[emoji13]
Yani usisubutu kuchungulia lazima uingie ha ha haaaHahaaa. Kila siku zinavyozidi kusonga mbele najikuta naipenda jf kuliko.
Wanaume wa humu wazuri sana,wna maisha mazuri,ni wajanja watu wa misimamo.Hata mtaani hawapo Wapo jf tu kwi kwiiiii kwii
Mkuu nakusalimiaWacha bwana
Naona mnatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.Wanaume wa humu wazuri sana,wna maisha mazuri,ni wajanja watu wa misimamo.
Wagumu,hawababaishwi.
Anaogopa utampiga katerero mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mzigua90 namuelewa sana ila ananiogopa...
Haha Shikamoo mzee.Mkuu nakusalimia
Japo naweza kua mkubwa sana kwako hii ndo jf.
Huyo anapenda vitu black mkuu afu yupo single nilisoma uzi wake mmoja hivi akiwa analalamika jamaa kala mzigo afu kaenda kuoa mtu mwingine....
Haina shida mkuu penye ukweli uchungu upo ila hutuweka huruUmemaliza kila kitu mkuu.......ila jipange kwa mapovu
Wamekamilika Kila idara mwanawaneWanaume wa humu wazuri sana,wna maisha mazuri,ni wajanja watu wa misimamo.
Wagumu,hawababaishwi.
Daby wangu siamini Kama unashika namba moja hujanipa maelezo ya kutisha kule pmNaona mnatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Namwachia Mungu mimi.
Ha ha haaaa huu utaratibu sio kabisa yani. mana tunaita mpaka wajukuu zetu mkuu humuHaha Shikamoo mzee.
Hakuna jina sipendi kama kuitwa kama mkuu naona kama mtu kaninyenyekea saana.
Mimi sijaona mkuujf member wengi wamepiga kitabu bhana asikwambie mtu nahic mtu mwenye elimu ndogo atakuwa na kadegree ka1