Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Huu uzi hauna uhalisia.
Ukiachana na avatar ambazo zinafahamika kabisa kwamba sio sura halisi za watu,Sijawahi narudia tena Sijawahi kuona mwanamke anajisifu humu kuhusu GARI,NYUMBA AU KAZI!
INGAWA KUNA WANAWAKE HUMU WANA KAZI NZURI,ELIMU NZURI,MAKAZI MAZURI ,NYUMBA ZAO NZURI AU ZA KUPANGA NZURI KABISAAAA.
Mwanamke anakanmizwa kila mahali hamna jipya.
mnataka tuwe wazuri nyie wazuri?
2000%
 
Usiwaseme wadada au wanawake wa jf sema na wanaume wa jf,kuna wanaume wana tabia mbaya sana jf lakin kwa vile ni wanaume wamenyamaziwa ingekuwa wanawake tunafanya mshaongea kama nin,hebu mjitathimini mjue thamani ya wanawake,wazoeeni wanawake walivyo,tukianza chambuana humu mtabaki midomo wazi
Kuna watu humu wana stress wanakuja zitolea humu,kuna watu full majigambo wakati kiuhalisia hakuna kitu kabisa ,kuna wanaume waongo humu jf walifaa waishi sayari yao wanadanganya mpala wanajisahau

Ngoja nikae vyema kwanza
Pole sana
 
Wanawasema wanawake wa humu wanaume je,wale mabazazi wengine mpaka wanafungukiwa uzi wanashika namba moja jf unadhan uongo?
Mwanaume wa jf anakuambia yupo single kumbe upo 1000 kule ,wanafake kweli humu na kujifanya wajuaji kumbe hovyo tu kiuhalisia hawapo hivyo kabisa hawana mvuto,nguo wanazovaa utacheka ,wapo baadhi wachache sana wanaojielewa humu kwa kila kitu
Taratibu mkuu
 
ea68d47af2eadd280bf7e77182b4ae9c.jpg

Tuendeleeni tu kufake maisha
Hahaha huo upaja noma sana
 
Huyo anapenda vitu black mkuu afu yupo single nilisoma uzi wake mmoja hivi akiwa analalamika jamaa kala mzigo afu kaenda kuoa mtu mwingine....

So jaribu bahati yako mkuu.... [emoji4] [emoji4]
Ha ha ha ha ....
Mimi kuna mdau aliniambia kwamba anapenda sana pesa, sasa hapa ina nibidi nijipange kweli kweli
 
Back
Top Bottom