Basi nimekufananisha kama haujanielewa......Umesema kweli unababaishwa ukioma unavibrate ee
Nani nimsalimie pm?
Mambo si haba sitishi Kama mtoa mada anavyodaiNajua hilo afu jishawahi ona vidole vyako mahali.... una ushawishi [emoji4] [emoji4]
ila mzigua90 unatamanisha!theriogenology mkuu cheki upaja sasa akyananiii ...mtoto mtamu huyu
Thibitisha kwa picha mkuuMapaja hayo....[emoji39] [emoji39] [emoji39] anyway uko na vidole na kucha kama za kwangu mkuu....
Saaaasa tutajuana mbele huko kama kunakuvumiliana au kuja kutoa povu kama mleta madaAcha tudanganyane tu
So ujipange mkuu.... but yupo peace sana hana tatizo mzee Mzigua90 njoo hapaNimeyaona mkuu!! 🙄
[emoji23] [emoji23] .. nitatekea eeehShauri yako jifanye kujua watu
WasalimieBasi nimekufananisha kama haujanielewa......
Swali la msingi sana hiliSasa wewe ni yupi miongoni mwa hao kwenye avatar?
Ooohh okay, bila shaka ni mtu mzuri huyo. Ukiwasiliana naye msalimu ijapokuwa simfahamu ila ID zetu hapa JF zimefanana kidogoNimemmiss tu huyo jamaa
MmmhHuyu ni wa mwisho kwenye list ya jf men.
Nishaweka kitambo mkuu...Thibitisha kwa picha mkuu
Mmmh, tugawane furaha buana!Naumia
UmekosAMwenye nyekundu
Kapicha basi,japo ka mguu au hata mkono?Mambo si haba sitishi Kama mtoa mada anavyodai
Hausahau aseeh.... mimi msindikizaji walaji wapo kimya wewe.Kule umepasahau?
Semaaaa, nipo tayari![emoji13]Yeeeeuwwii nkiki iki
NimecheeeekaJamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
Nakuona tu Ooh[emoji23] [emoji23] .. nitatekea eeeh