Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
HahahaahIt's hard help me
Inshaaalah...Wasalimie
Hiyo ni long term listMmmh
Unataka mchukua, tafuta mwingine hebu... Huyo anayejiita mshipa atakufaa zaidi
Koh KohHausahau aseeh.... mimi msindikizaji walaji wapo kimya wewe.
Huwezi amini toka niijue JF sijawahi kusalimiwa PM na mdada zaidi ya jokes za hapa.
NimemwachaNakuona tu Ooh
Sikujui mkuu fanya mpango tuonane ngoja nikirudi UK ntakutafuta aseeIla mimi nikishajua unanizidi umri heshima inakwepo ila salamu yako utaipata nje ya hapa sio hapa. Nafikiri huwa unaniona
Yupo vyema mkuu.... mtoto anajielewa sanaila mzigua90 unatamanisha!
Typhoid hiyo maliza doziKoh Koh
Kwa nini lakiniMmmh, tugawane furaha buana!
SawaNimemwacha
Acha uongo au Niscreenshot ile pm nilikutumia last year?Hausahau aseeh.... mimi msindikizaji walaji wapo kimya wewe.
Huwezi amini toka niijue JF sijawahi kusalimiwa PM na mdada zaidi ya jokes za hapa.
Dawa zimenishinda nasubiria uamuzi wa maulanaTyphoid hiyo maliza dozi
[emoji23] [emoji23] poa poa mkuu utastua nikupokee hapo mwalimu nyerere na boda boda yangu.Sikujui mkuu fanya mpango tuonane ngoja nikirudi UK ntakutafuta asee
Mkuu nakuja pm tafadhaliYupo vyema mkuu.... mtoto anajielewa sana
Kwa sababu tangu new yr unanipa kalenda, nimechoka mzungu wa nne[emoji13]Kwa nini lakini
Usiku mwemaHiyo ni long term list
Ina zaidi ya miaka mitatu iko kwenye plan
Asante sanaKwa sababu tangu new yr unanipa kalenda, nimechoka mzungu wa nne[emoji13]
Wengine wanakwambia akimtaka demu yoyote jf hachomoiAcha tudanganyane tu
Achana nayo ntamstua dogo uje nae hom ndinga zinakula vumbi tu[emoji23] [emoji23] poa poa mkuu utastua nikupokee hapo mwalimu nyerere na boda boda yangu.