Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Ila mimi nikishajua unanizidi umri heshima inakwepo ila salamu yako utaipata nje ya hapa sio hapa. Nafikiri huwa unaniona
Sikujui mkuu fanya mpango tuonane ngoja nikirudi UK ntakutafuta asee
 
Hausahau aseeh.... mimi msindikizaji walaji wapo kimya wewe.

Huwezi amini toka niijue JF sijawahi kusalimiwa PM na mdada zaidi ya jokes za hapa.
Acha uongo au Niscreenshot ile pm nilikutumia last year?
 
Back
Top Bottom