Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Acha uongo au Niscreenshot ile pm nilikutumia last year?
Wewe kabisa ndiye unaringa hata likes zangu hautaki achilia mbali qoutes....

Mkiendewa kwa waganga mnalalamika.[emoji19]
 
Wewe kabisa ndiye unaringa hata likes zangu hautaki achilia mbali qoutes....

Mkiendewa kwa waganga mnalalamika.[emoji19]
Wewe mtu wa pili unaniambia habari za kuendewa kwa waganga

Naona impact ya mshana jr humu ndani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sky eclat umeua mama, you made my weekend.
lots of love to you!
jioni njema kwako
Yaani acha tu mkuu hujafurahi kama mimi hii comment nikiiangalia nacheka tu.huyu bibie nimempenda bure aysee.
 
Jamani tuvumilie tu hata tukiweka avatar za picha nzuri haibadilishi maana kua sisi ni wabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…