Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Acha uongo au Niscreenshot ile pm nilikutumia last year?
Wewe kabisa ndiye unaringa hata likes zangu hautaki achilia mbali qoutes....

Mkiendewa kwa waganga mnalalamika.[emoji19]
 
Wewe kabisa ndiye unaringa hata likes zangu hautaki achilia mbali qoutes....

Mkiendewa kwa waganga mnalalamika.[emoji19]
Wewe mtu wa pili unaniambia habari za kuendewa kwa waganga

Naona impact ya mshana jr humu ndani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sky eclat umeua mama, you made my weekend.
lots of love to you!
jioni njema kwako
Yaani acha tu mkuu hujafurahi kama mimi hii comment nikiiangalia nacheka tu.huyu bibie nimempenda bure aysee.
 
Kwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbali mbali ianzshwayo na baadhi wa Memba wa Kike humu kwenye Jamvii la Mahusiaono na hasa wale wanaojiita Majina ya Kuvutia na Kuweka Avatar Tamanishi, Kiuhalisia hao mamember hawafananani Kabisa na wanayoyasema humu ndani..

Nipo Tayari kuasahihishwa ila ukweli ningeshauri wadada ambao ni baadhi siyo wengi Jaribuni kuishi Maisha halisi na siyo fabricated life..

Wenye Povu za Omo Njoooni
Jamani tuvumilie tu hata tukiweka avatar za picha nzuri haibadilishi maana kua sisi ni wabaya
 
Back
Top Bottom