[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
Ndo maana sitak kufake kabisa maisha yangu ndo hayooooUnarusha hako ka kibanda Ka kuku watu tuna Maghorofa tumenyamaza
Tunatembea na vibamia mkuu wala usiogopeHahaha
Umeonaeeee!!! Huo nayaheshimu mnoooo
Utakubali nilie wakati upo?Ukiambiwaga nipo period Unatoka machozi jomonii Ahahahah
Ndo maana sitak kufake kabisa maisha yangu ndo hayooooUnarusha hako ka kibanda Ka kuku watu tuna Maghorofa tumenyamaza
Ndio nini kunikalisha kule wewe,natamani kukutukanaNdo maana sitak kufake kabisa maisha yangu ndo hayoooo
Hata sijui kabisa imejipostHaha kwani Valentine ni kwa ajili ya kugegedana?
SidanganyikiiiiTunatembea na vibamia mkuu wala usiogope
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengi show off tu. Na kujishebedua kumbe uhalisia ni wadada wa uswahilini. Hizo avatar nzuri nzuri na majina seductive ni yakuchunia maboya tu.
Utakopwa Pesa humu Shauri yakoNdo maana sitak kufake kabisa maisha yangu ndo hayoooo
Siweziii kabisaUtakubali nilie wakati upo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani inashida gani mzee?
Haha we muoga sanaSidanganyikiiii
Ha ha mie namshukuru mungu ata nikilala barabarani Kama wale wa kariakoo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtawaka sana humu,
Mwenyewe msomali akiwa kwenye siku zake siachi ujichue bure.Siweziii kabisa
Haha haina shida yeyote watu wanatafuna tu kujiandaa na valentine day[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani inashida gani mzee?
Kwetu morani hawali mhongo mbichi ni malayoni tu.
Hakuna mwanaume hapendi. Maana ile ndio langu kuu la kuwowana /kuwa na girlfriend . Zaidi ya hapo ni bora uwe pekeyako [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Anapenda kama chakula
Bora unasema ukweli[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ndo maana sitak kufake kabisa maisha yangu ndo hayoooo