Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.

Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni

Don't spoil the fun
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Huu uzi tume mkosa mama Sabrina.
Sijui kafichwa wapi
 
ca5cf68c41ac2fb58ceb6b3d89bed5d7.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani inashida gani mzee?

Kwetu morani hawali mhongo mbichi ni malayoni tu.
Haha haina shida yeyote watu wanatafuna tu kujiandaa na valentine day
 
Back
Top Bottom