Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Hahaaa. Basi utanihadithia ukimaliza kupitia best. [emoji12] [emoji12]
Khaaa huo mtihani sasa best, manake nimekomea pg ya 10, na zimeishaenda hadi 50 n usheee, ntaweza kuzisoma zote kweli best[emoji15] [emoji15]
 
Khaaa huo mtihani sasa best, manake nimekomea pg ya 10, na zimeishaenda hadi 50 n usheee, ntaweza kuzisoma zote kweli best[emoji15] [emoji15]
Hahaaa. Basi usijali best ntaupitia nikipata chance .
 
Mwanyasi unafanya nini katikati ya warembo?
Mkuu mi nipo tu naangalia wanavokukumbuka.
Mfano bbade yuko mitaa ya tenkini hapo karibu na njiapanda Ilboru kaambiwa aende USA eti anasubiri rift ya ndinga lako, mi mwenyewe namsubiri hapa mataa ya sanawari.

NB: mrejeshe Demiss
 
Wala sijafichwa nimo humu nimejaa tele kama pishi ya mchele wa Kyela. Mzima weye? Mwenyewe mwenye nini?
Aiseee
Labda mie ndo nimeadimika...
Mwenyewe shkamo!!! Itabidi nikufuatilie kwa ukaribu sasa
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…