Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.

Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni

Don't spoil the fun
hahaaaa basiii sichangii chochote tena maana umemaliza kila kitu ..sioni chakuongezea
 
absolutely true mkuu!!.[emoji106]

JF kila MTU anamiliki mjumbaaa au amepanga nyumban nzima[emoji23][emoji23] lkn in reality weeee siunajua weng ndio hawa hawa wafanyakazi wa serikal ya awamu yatano.

Nilianza kushituka.,,Kwenye ule Uzi wa kuongeza mishahara na kupandisha madaraja vilio vilikua vingi mno nikajua aaaaaahhh kumbe[emoji23]
hahaaaa daahh aiseee ..
 
Wanaume hivi mmezaliwa na makopo au mmetoka kwenye sehemu zetu za sirii shenziii zunuuuu
Eti sehemu zenu? Zenu au zetu?
Zinakuwaje za siri kama kila mwanamke zipo hivo na zinafahamika?
 
Back
Top Bottom