Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Nikizama utanidaka ehI love you too,
Em kuja tukaogelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikizama utanidaka ehI love you too,
Em kuja tukaogelee
Eee nakushikaa vizuuriiiNikizama utanidaka eh
hahaaaUsemayo mkuu ni kweli kabisa wengi wao karibu wote wanaishi maisha ya maigizo na pia wako frustrated sana..........sijui shida nini
hahaaaa basiii sichangii chochote tena maana umemaliza kila kitu ..sioni chakuongezeaJamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.
Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni
Don't spoil the fun
hahaaaa daahh aiseee ..absolutely true mkuu!!.[emoji106]
JF kila MTU anamiliki mjumbaaa au amepanga nyumban nzima[emoji23][emoji23] lkn in reality weeee siunajua weng ndio hawa hawa wafanyakazi wa serikal ya awamu yatano.
Nilianza kushituka.,,Kwenye ule Uzi wa kuongeza mishahara na kupandisha madaraja vilio vilikua vingi mno nikajua aaaaaahhh kumbe[emoji23]
Haujarudi Bongo DSM? tu[emoji19] [emoji19][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
aisee umepewa bandiko jekundu daahh pole sanaAlafu hatajibu anatuacha tujichanganye wenyewe
Eti sehemu zenu? Zenu au zetu?Wanaume hivi mmezaliwa na makopo au mmetoka kwenye sehemu zetu za sirii shenziii zunuuuu
hahaaa daahMiguu yao utakuta imeota vigimbi kwa kutembea umbali mrefu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwema, uwe unapitia basi.sister.... za USA RIVER chugga??
unakuwaga bize sana,,,,uwe unakuja town basi kwan nauli sh ngap ??Kwema, uwe unapitia basi.
Nikikosa Nauli nitaomba lift kwa Dabyunakuwaga bize sana,,,,uwe unakuja town basi kwan nauli sh ngap ??
Hahaha Daby sio mzuri atakuibaNikikosa Nauli nitaomba lift kwa Daby
Eehh kumbe ana sifa hizo?Hahaha Daby sio mzuri atakuiba
poa tutakutana hapo Stendi ya USA RIVER ndio sehemu nzuri au..?Eehh kumbe ana sifa hizo?
Basi fanya uje wewe mwenyewe.
Jiongeze kidogo ufike Arumeru River Lodgepoa tutakutana hapo Stendi ya USA RIVER ndio sehemu nzuri au..?
[emoji86] [emoji85]Wanaume hivi mmezaliwa na makopo au mmetoka kwenye sehemu zetu za sirii shenziii zunuuuu
Tena ni vya kabaka mchizi kabisa bestMie pia sikuumaliza baada ya kuandika andika nikasepa zangu kumbe kuna vimbwanga.
Hahahaaaa. Pumzika kwanza best.