Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
- Thread starter
-
- #541
Demiss utapigwa ban tena na hii ID yako Mpya unakichafua Chuo cha CBE bila ushahidi wakutosha na ukifunguliwa Mashitaka ya kukichafua Chuo cha CBE na kuimplicate watu kuwa wanafanya kazi hapo Usiione JF Chungu bila sababu ya Msingi ... Moderator Ifanyie Kazi hii kitu.. Uchafuzi wa Chuo kwa matwaka ya Mtu anavyojisikia siyo Maudhui ya uwepo wa JF member wa namna hii wanapashwa kufukuziwa mbali., CBE ni chuo kikubwa Mno kukihusanisha na Mada yoyote humu Ndani siyo suala ya kuchekea.
Huyu Anaitwa Paulo mwalimu wa CBE
Dodoma ndo aliyeleta mada ya Mr smart hapa jukwaani na pia ni tapeli tapeli ana tabia ya kutembea na Watoto wazuri wa cbe
Na hii ni kwa sababu wanawake wengi hawajikubali walivyoumbwa kutwa kutamani kubadili muonekano wa asili ndo maana wako tayari kuongeza makalio cjui mawigi cjui nyonyo wanazipandishaje wakati zishalala yaani wana kazi kweli kweli hawa viumbe.Wengi show off tu. Na kujishebedua kumbe uhalisia ni wadada wa uswahilini. Hizo avatar nzuri nzuri na majina seductive ni yakuchunia maboya tu.
Aiseee. Hatari rafikiYaan kila siku yanaibuka mambo mapya aiseee
Hahaaa. Duuh.Hahaaa best kumbe nawe muoga eeh, hebu nipaishe kwa mtoto best, ongeeni hata cha nyumbani mtoto aelewe somo, teh!
Unajua!Nimpe nini
Tulia tuusome mchezoUnajua!
Aiseeeeee
Huyu Anaitwa Paulo mwalimu wa CBE
Dodoma ndo aliyeleta mada ya Mr smart hapa jukwaani na pia ni tapeli tapeli ana tabia ya kutembea na Watoto wazuri wa cbe
Demiss utapigwa ban tena na hii ID yako Mpya unakichafua Chuo cha CBE bila ushahidi wakutosha na ukifunguliwa Mashitaka ya kukichafua Chuo cha CBE na kuimplicate watu kuwa wanafanya kazi hapo Usiione JF Chungu bila sababu ya Msingi ... Moderator Ifanyie Kazi hii kitu.. Uchafuzi wa Chuo kwa matwaka ya Mtu anavyojisikia siyo Maudhui ya uwepo wa JF member wa namna hii wanapashwa kufukuziwa mbali., CBE ni chuo kikubwa Mno kukihusanisha na Mada yoyote humu Ndani siyo suala ya kuchekea.
Moderator Maxence Melo Mhariri
Mchezo gani? Huo wa kupeana mema ya nchi?Tulia tuusome mchezo
HahahaMchezo gani? Huo wa kupeana mema ya nchi?
Aiseee. Hatari rafiki
Tekeleza ahadi.... Wewe huwezi kumnyima buana..... Usimnyime!Hahaha
Hapana bwana
Hahaaaa. Ndio maana rafiki nikajifanya kama sijaona vile. Teh teh teh. [emoji12] [emoji12]
HahahaTekeleza ahadi.... Wewe huwezi kumnyima buana..... Usimnyime!
Unajua kicheko kinaendana na kukubali sio kukataa!!!Hahaha
Akuuu
Hahaaaa. Shukrani sana rafiki wa kweli.Hahahah Good upo vizuri
Acha mambo zako babu, ujue ni utani tuuUnajua kicheko kinaendana na kukubali sio kukataa!!!