Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
- Thread starter
- #541
Demiss utapigwa ban tena na hii ID yako Mpya unakichafua Chuo cha CBE bila ushahidi wakutosha na ukifunguliwa Mashitaka ya kukichafua Chuo cha CBE na kuimplicate watu kuwa wanafanya kazi hapo Usiione JF Chungu bila sababu ya Msingi ... Moderator Ifanyie Kazi hii kitu.. Uchafuzi wa Chuo kwa matwaka ya Mtu anavyojisikia siyo Maudhui ya uwepo wa JF member wa namna hii wanapashwa kufukuziwa mbali., CBE ni chuo kikubwa Mno kukihusanisha na Mada yoyote humu Ndani siyo suala ya kuchekea.![]()
Huyu Anaitwa Paulo mwalimu wa CBE
Dodoma ndo aliyeleta mada ya Mr smart hapa jukwaani na pia ni tapeli tapeli ana tabia ya kutembea na Watoto wazuri wa cbe
Moderator Maxence Melo Mhariri