Kwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbalimbali ianzishwayo na baadhi wa member wa kike humu kwenye jamvi la mahusiano na hasa wale wanaojiita majina ya kuvutia na kuweka avatar tamanishi, kiuhalisia hao ma member hawafananani kabisa na wanayoyasema humu ndani.
Nipo tayari kusahihishwa ila ukweli ningeshauri wadada ambao ni baadhi siyo wengi jaribuni kuishi maisha halisi na siyo fabricated life.
Mkuu mi nipo tu naangalia wanavokukumbuka.
Mfano bbade yuko mitaa ya tenkini hapo karibu na njiapanda Ilboru kaambiwa aende USA eti anasubiri rift ya ndinga lako, mi mwenyewe namsubiri hapa mataa ya sanawari.