monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,778
Endelea kujifunza Mkuu! Huenda Ukapata Akili!Kwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbalimbali ianzishwayo na baadhi wa member wa kike humu kwenye jamvi la mahusiano na hasa wale wanaojiita majina ya kuvutia na kuweka avatar tamanishi, kiuhalisia hao ma member hawafananani kabisa na wanayoyasema humu ndani.
Nipo tayari kusahihishwa ila ukweli ningeshauri wadada ambao ni baadhi siyo wengi jaribuni kuishi maisha halisi na siyo fabricated life.