Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.

Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni

Don't spoil the fun
Nmependa hii inaonekana una akili, japo skujui
 
Jamii forum ni dunia nyingine kabisa ambayo uki log in unaishi kwenye mansion na unaendesha Bentley.

Uki log off unarudi kwenye chumba chako Kwamtogole kusubiri foleni ya chooni

Don't spoil the fun
Usimwambie babu nimekuqoute.
 
Back
Top Bottom