Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Nilichojifunza kwa wadada wa JF

Hahahaaaaaaa hahahhaaaaa
Tuishi uhalisia
?
Bwaha bwaha.....wanaume wote jf wapo single wana magari na wanaishi Dar
Kasoro mimi mkuu, maana nina wake 4 na nina miliki Avon[emoji605] na ninaishi huku Imalamagigo karibia na kijiji cha Buyange njia ya kutokea Nyanshimbi
 
Mkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Naona kuna mtu kapanic,uzi mwanzo mwisho unadhalilisha wadada ila kuwekwa huyo mkaka mmoja wanakasirika.
Aiseeeee......[emoji45] [emoji45]
Mdomowangu umebaki wazi kabisaaaaaaaa.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
KARIBU KTK HUDUMA YA MZEE NYANGASA KWA HUDUMA ZIFUATAZO : KUMVUTA MPENZI, MATATIZO KTK NDOA, KINGA YA MWILI, KUMRUDISHA ALIEPOTEA, KUONDOA MIKOSI, MVUTO WA BIASHARA, UFAULU MASOMONI, UTAJIRI WA MAJINI NA KUJIUNGA FREEMASON : 0712253421 / 0763382473.
Huduma ya kumrushia majini mtu ambae anaweka picha za watu humu jf unayo....[emoji144]
 
Kumwamini mwanamke wa mtandaoni ni ngumu sana hata km sura ni yake lkn cream ya 360 imeshapita utajua kisu , haya muone live mbona kazi kweli kweli ht kutembea nae kero coz hukutegemea ulijua mweupe kumbe cheusi daah hata shape hana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom