Hao mabeberu mbona walichapiga pale Vietnam, walichapika pale Afghanistan, walishindwaje kwenye vinchi vidogo visivyo na teknologia ya maana.
Je, kwa siraha, utaalamu, teknologia na fedha walizowekeza pale Ukraine uliamini kwamba vita itachukua zaidi ya miaka 3?
Hawa huwa wanaziomea nchi zisizo na mshikamano, wanahakikisha wameandaa mamluki (uasi) ndani ya nchi bila hivyo huwa wanachoka na kuondoka.