Nilichojifunza, Nchi hata ikiwa saizi ya Hekari moja, kama Ikiungwa mkono na Mabeberu huwezi kuishinda hadi mabeberu hao waamue

Mabeberu huwa nawakubali pale wanatembeza kichapo kwa magaidi wa waislamu, ila haya mengine yote sipo nao.
 
Mabeberu wamepigana vita tangu enzi enzi mbinu zote za kushinda wanazijua na technology wanayo plus pesa lazima washinde
Hao mabeberu mbona walichapiga pale Vietnam, walichapika pale Afghanistan, walishindwaje kwenye vinchi vidogo visivyo na teknologia ya maana.
Je, kwa siraha, utaalamu, teknologia na fedha walizowekeza pale Ukraine uliamini kwamba vita itachukua zaidi ya miaka 3?
Hawa huwa wanaziomea nchi zisizo na mshikamano, wanahakikisha wameandaa mamluki (uasi) ndani ya nchi bila hivyo huwa wanachoka na kuondoka.
 
Malengo ya vita ni zaidi ya haya uliyoandika
Wakati we unaona wameshindwa wao wanakuwa wameshapata walichotaka
 
Back
Top Bottom