koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Jana nateremka
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu
MOROGORO.
Kwenda na kurudi
sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA
aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA
MIMI NA BEI ZA
TEKSI.
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu
MOROGORO.
Kwenda na kurudi
sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA
aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA
MIMI NA BEI ZA
TEKSI.