Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi

Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Jana nateremka
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu
MOROGORO.
Kwenda na kurudi
sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA
aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA
MIMI NA BEI ZA
TEKSI.
 
Jana nateremka
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu
MOROGORO.
Kwenda na kurudi
sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA
aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA
MIMI NA BEI ZA
TEKSI.
Mkuu umefaidi sana safari
 
Jana nateremka
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu
MOROGORO.
Kwenda na kurudi
sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA
aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA
MIMI NA BEI ZA
TEKSI.
Dah!! Ufaidi kweli
 
Jana nateremka
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu
MOROGORO.
Kwenda na kurudi
sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA
aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA
MIMI NA BEI ZA
TEKSI.
Hukuwa na akili ya mwendo kasi 650 tsh ama utajifunza kuchekesha.
[emoji53]
 
A day will come when the world will celebrate your name, your fame, your personality and your views. But April Fool comes once in a year and that your day.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Jana nateremka
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu
MOROGORO.
Kwenda na kurudi
sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA
aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA
MIMI NA BEI ZA
TEKSI.
Wewe utakuwa Mpogoro.
 
Jana nateremka
kwenye BASI
UBUNGO nataka
nichukue TEKSI hadi
KIMARA naambiwa
sh.15,000/=. Wakati ninapotafakari
hiyo bei, nikasikia
"Moro, Moro,Morogoro
sh.6,000/=" Nikaamua nipande
niende zangu
MOROGORO.
Kwenda na kurudi
sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwambia KONDA
aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA
MIMI NA BEI ZA
TEKSI.
Lazima Muyao ww. Maana wale hupitiliza kituo kimoja ili kumkomoa dereva halafu anarudi km10 kwa mguu.
 
Ila umeelezea kwa utulivu wa hali ya juu ka unachora picha...umeharibu ulivosema hupendi#ujinga apo tu..
 
Back
Top Bottom