Nilichokigundua kuhusu muungano

Nilichokigundua kuhusu muungano

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
Leo nilijarib kujichanganya changanya na kujipitisha huku na kule katika maadhimisho ya sherehe ya miaka 51 ya muungano....kila mmoja alikua akiongea kuhusu tanzania kuendelea kuimarisha muungano huu....nanukuu...."daaa huu muungano na udumu asee cheki leo kwa pamoja tumekutanishwa hapa.....daaaaa hizo jeshi kaaaa hapa amani tuuuu....asante jakayaaaaaa" mwisho wa kunukuu...nilimckia mmoja wa kijana akiongea...sasa wewe kama unataka kuvunja huu muungano...anzeni kwanza kuvunja umoja wenu"UKAWA"
 
ki ukweli zaidi ya muingiliana wa kijamii,,utamaduni,biashara na ulinzi sioni sababu ya muungano

LAKINI PIA SIONI SABABU KWA NINI UVUNJWE
niliuliza hili swali sikupata jibu
kwanini uvunjwe?
kwanini uliundwa?
 
Muungano hautakiwi kwa sababu Zanzibar ni nchi ya Kiislamu.........
 
Duuuuu ha ha ha ha hivi nani kakuambia TAnganyika na Zanzibar ziliungana kwa sababu ya dini?Long live Muungano 51 years now we celebrate!
 
Leo nilijarib kujichanganya changanya na kujipitisha huku na kule katika maadhimisho ya sherehe ya miaka 51 ya muungano....kila mmoja alikua akiongea kuhusu tanzania kuendelea kuimarisha muungano huu....nanukuu...."daaa huu muungano na udumu asee cheki leo kwa pamoja tumekutanishwa hapa.....daaaaa hizo jeshi kaaaa hapa amani tuuuu....asante jakayaaaaaa" mwisho wa kunukuu...nilimckia mmoja wa kijana akiongea...sasa wewe kama unataka kuvunja huu muungano...anzeni kwanza kuvunja umoja wenu"UKAWA"

Ha ha ha ha true kabisa afu na hao wanaojifanya vidume waulizzwe mbona Malim Seif Sharifu alikuwepo hightable kwenye sherehe kucelebrate miaka 51 ya Muungano wakati ndo jembe la CUF? Jibu simple hapo hakuna anayepinga Muungano wote twaupenda yakheee!
 
Sisi UKAWA Muungano tunaukubali hayo mengine huwa tunazuga majukwaani. Muungano Daima Bwana
 
Ha ha ha ha true kabisa afu na hao wanaojifanya vidume waulizzwe mbona Malim Seif Sharifu alikuwepo hightable kwenye sherehe kucelebrate miaka 51 ya Muungano wakati ndo jembe la CUF? Jibu simple hapo hakuna anayepinga Muungano wote twaupenda yakheee!
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ndo mana Mzee wetu Maalim aliwaunga mkono wanaccm kusherehekea kwani anafahamu kuwa bila Muungano yeye labda ni Rais wa Pemba
 
ki ukweli zaidi ya muingiliana wa kijamii,,utamaduni,biashara na ulinzi sioni sababu ya muungano

LAKINI PIA SIONI SABABU KWA NINI UVUNJWE
niliuliza hili swali sikupata jibu
kwanini uvunjwe?
kwanini uliundwa?
Hautokuja kubunjwa hata kidogo, ndo kwanza unaimarika kupitia katiba hii inayopendekezwa.
 
Muungano ni kama maji na samaki, hauvunjiki hata kidogo wanaotamani uvunjwe watavunjika wao wenyewe iwe aibu yao.
 
Back
Top Bottom