Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
Leo nilijarib kujichanganya changanya na kujipitisha huku na kule katika maadhimisho ya sherehe ya miaka 51 ya muungano....kila mmoja alikua akiongea kuhusu tanzania kuendelea kuimarisha muungano huu....nanukuu...."daaa huu muungano na udumu asee cheki leo kwa pamoja tumekutanishwa hapa.....daaaaa hizo jeshi kaaaa hapa amani tuuuu....asante jakayaaaaaa" mwisho wa kunukuu...nilimckia mmoja wa kijana akiongea...sasa wewe kama unataka kuvunja huu muungano...anzeni kwanza kuvunja umoja wenu"UKAWA"