Muungano hautakiwi kwa sababu Zanzibar ni nchi ya Kiislamu.........
Leo nilijarib kujichanganya changanya na kujipitisha huku na kule katika maadhimisho ya sherehe ya miaka 51 ya muungano....kila mmoja alikua akiongea kuhusu tanzania kuendelea kuimarisha muungano huu....nanukuu...."daaa huu muungano na udumu asee cheki leo kwa pamoja tumekutanishwa hapa.....daaaaa hizo jeshi kaaaa hapa amani tuuuu....asante jakayaaaaaa" mwisho wa kunukuu...nilimckia mmoja wa kijana akiongea...sasa wewe kama unataka kuvunja huu muungano...anzeni kwanza kuvunja umoja wenu"UKAWA"
Sisi UKAWA Muungano tunaukubali hayo mengine huwa tunazuga majukwaani. Muungano Daima BwanaLeo nilijarib kujichanganya changanya na kujipitisha huku na kule katika maadhimisho ya sherehe ya miaka 51 ya muungano....kila mmoja alikua akiongea kuhusu tanzania kuendelea kuimarisha muungano huu....nanukuu...."daaa huu muungano na udumu asee cheki leo kwa pamoja tumekutanishwa hapa.....daaaaa hizo jeshi kaaaa hapa amani tuuuu....asante jakayaaaaaa" mwisho wa kunukuu...nilimckia mmoja wa kijana akiongea...sasa wewe kama unataka kuvunja huu muungano...anzeni kwanza kuvunja umoja wenu"UKAWA"
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ndo mana Mzee wetu Maalim aliwaunga mkono wanaccm kusherehekea kwani anafahamu kuwa bila Muungano yeye labda ni Rais wa PembaHa ha ha ha true kabisa afu na hao wanaojifanya vidume waulizzwe mbona Malim Seif Sharifu alikuwepo hightable kwenye sherehe kucelebrate miaka 51 ya Muungano wakati ndo jembe la CUF? Jibu simple hapo hakuna anayepinga Muungano wote twaupenda yakheee!
Hautokuja kubunjwa hata kidogo, ndo kwanza unaimarika kupitia katiba hii inayopendekezwa.ki ukweli zaidi ya muingiliana wa kijamii,,utamaduni,biashara na ulinzi sioni sababu ya muungano
LAKINI PIA SIONI SABABU KWA NINI UVUNJWE
niliuliza hili swali sikupata jibu
kwanini uvunjwe?
kwanini uliundwa?