Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

Mwenye shati la kitenge lenye mabaka ya kenge mziki mzito kwa mabronzooooo machiziii walimu na wanafunzi ni kazeze ni kazeze.
Gonjwa hili limezua..kizaazaa mzozo gumzo gumzo kwa mabronzoo blonzo masista du machizi wazazi walimu na wanafunzi.......
 
Huyo Hamisa bado anachezea Yanga afrika au alishaamaga?
 
Unajua IPO hivi:Mbali Na mwanamke kuhitaji Mwanaume kwa mambo mengi Na dyudyu yake..but one more thing mwanamke Akijaliwa Na kutimiziwa mahitaji yake ya msingi kama Majizzo anavyomlea mwanae Na yeye kwa kumpa matunzo bora Inapunguza machungu .Yaani Mfano kwa Sasa Majizzo (Boss wa EFM Radio)kuwa Na mahusiano Na LULU huku akiendelea kumtunza vizuri mwanae Na Mzazi mwenzio imemsaidia kupunguza Drama Japo Roho inamuuma .Kuchukuliwa Mwanaume anayejielewa Inauma sana labda akiwa Fala.
 
Back
Top Bottom