Nilichokikuta kwa Hamisa Instagram

halafu life is too short kuanza kuweka beef na baba wa mtoto wako.... ye mwenyewe anamshukuru kwa kum take care na mtoto pia...
Umeona ee kitu ambacho wakina faiza n shamsa walikua wanakililia
Big u hamissa
Yaan hapo lulu kw hyo mkaka nahis habanduki ng'o mtu ambaye hasubirii mshahara trh 30
 
Umeona ee kitu ambacho wakina faiza n shamsa walikua wanakililia
Big u hamissa
Yaan hapo lulu kw hyo mkaka nahis habanduki ng'o mtu ambaye hasubirii mshahara trh 30
Lulu tenaa...anatumia fursa vizuri kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…