Mkuu kuchepuka sio udhaifu, ni uamuzi.
Lack of self control decline of moral values. Sikuhukumu ila wanadamu tumekuwa wakengeufu sana kila kitu tunachukulia poa. Siku hizi kama huchepuki unaonekana wa ajabu na mshamba. Kuna uzi mwingine huko jamaa anajisifia kuwa kwenye mahusiano na mke wa mtu for 15 years. Anyways, ndo namna tulivyochagua kuishi kama vile hakuna Mungu. Tunafanya tunachojisikia, tunaharibu familia kwa kujenga misingi na mifano mibaya kwenye jamii yetu.