Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

Harafu kwake siku3
 
Ulipofika chuo kuanza Mwaka wa kwanza hakukuwa na orientation?!
Nakumbuka wakati najiunga UDSM miaka ya mwanzoni mwa 2000 tulikaribishwa kwa orientation week, pamoja na masuala ya registration na kujua maeneo mbalimbali ya chuo na taratibu zake kulikuwa pia na mama ambaye ni "Sociologist" nakumbuka kauli yake moja tu


".. Najua mna matarajio makubwa, lakini yawe ya kimasomo/kitaaluma. Huu sio wakati wa kuwekeza kwenye mahusiano ila kama utaamua kuwekeza kwenye mahusiano ya kimapenzi basi jua kuwa utapitia changamoto Nyingi, usiwe na matarajio makubwa au ya muda mrefu kwa binti au kijana... "
 
Mrejesho kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…