swai gas
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 384
- 384
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huuu ndio ushauri sasa.Mkuu kwanza sio lazima wew uanze kumwambia, sababu ukimwambia inaweza kuwa ndo tiketi yake kukuacha.....cha kufanya kama kweli unampenda na unamalengo nae, jitahidi iongezewe uoendo, jitahidi umjari zaidi ya sasa, jitahidi umheshimu, jitahidi uwe perfect gentleman kwake, badilika kuwa positive jitahidi hata kuwa unamwambia malengo yako kwake na malengo ya biashara na career yako unavyotaka iwe...... pia jitahidi usali Mungu atafanya kitu..... After all ulifanya haya yeye mwenyewe kama ni mtu wa kujielewa basi atabadilika ila uoneshe you are the top gentleman kimawazo kaka.....unaweza kumuacha pia lakini kama unampenda kwa kiasi kikubwa utateseka tu utakaposhindwa kumsahau.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujaelewa mkuu kwamba hili ni tangazo la "kudanlodi" app za hovyo ..Kiswahili hawezi na kiingereza hawezi! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiamua kufanya biashara ya kuuza utumbo usiogope inzi. Kupekua simu ya mwenzio unapaswa uwe na ustahimilivu, acha kujitafutia magonjwa ya moyoKama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano.
Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education.
Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo iliitumia Kwa kwenda kwao kama slivonieleza Mimi.
Kufuatia kwamba ni siku nyingi tulikua hatujaonana, nilimuomba atakapotoka kwao Tanga kurejea chuoni Mbeya baada ya kua rikizo imeisha apite Dodoma walau tuonane.
Jumamosi hii ilopita ndio alikua anarejea chuoni akawa amepita hapa Dodoma na tuka spend siku tatu pamoja mpaka jumatatu.
Lakin wakati tukiwa pamoja, nili download hacking app ya spycheckup Nika install na kukamilisha settings zote Kwa ajili ya kuanza kpekua texts zake za kwenye SMS, WhatsApp na call history zake.
Wakati Niko nae hakukua na dalili mbaya kwenye simu yake kiasi kwamba nikamuona ni innocent.
Lakin baada ya Tu kuachana na yeye kuelekea chuoni kwao ndio niaanza kushuhudia madudu.
Huyu msichana kumbe kabla ya kuja kwangu alikua Kwa njemba moja huko morogoro na alikaa yapata wiki nzima Kwa jamaa Hilo.
Hili nimelijua baada ya kubaki nampekua kupitia ile hacking app niloitega kwenye simu yake.
Yani nilikua nasoma chatting zake za WhatsApp na SMS, jamaa linamsifia kwamba anaweza kazi na linasema wiki moja alokaa nalo ilikua ndogo Kwa jinc alivokipa mambo adimu.
Kinachoniuma ni jinsi mavompenda huyu binti na tuliko toka ukijumlisha na malengo tulowekeana. Pia nime spend some amounts of money katika kipind chote za mahusiano kwa kujua ndio mke mtarajiwa kitu ambacho kinaniuma Sana mpaka sasa.
Sijamwambia chochote mpaka sasa maana inashauriwa kutofanya maaumuzi wakati WA hasira, but nazid kuumia kila naposoma chatting zake hiku maana ukiachana na Hilo njema la morogoro kuna jamaa mwingne nazani niwa hapohapo chuoni kwao ananilia tunda langu.
Guyz, actually nimekosa cha kuamua. Either nimpige chini nisonge mbele au nimkosoe Kwa anayoyafanya then niendelee nae coz ningali nampenda Sana.
In addition,. Nataka after three weeks nikapime HIV/AIDs maana nilienda peku Kwa binti huyu nilipokua sijui kama katoka Kwa mshkaji mwingine isije ikawa kaniachia na matadhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahahahahahahahah watu wanajitakia stress za kujiua na kufa na kihoro bila sababu leo hii bado kuna Mwanaume na akili timamu anamuamini kumbe knachoitwa Mwanamke... Really? Hivi kuna mtu alimpenda mwanamke kama Samson? Lakini na kumpenda kwake kote hakumwambia ukweli mara ya kwanza na baadae akaingia kichwa kichwa na kumwambia ukweli unajua kilichomtokea? Eti mtu umeshuhudia kabisa Tanga alikuwa kwa Mwanaume, Morogoro alikuwa kwa Mwanaume, Dodoma amekuletea umekula mzigo , Huko Chuo nako anapigwa kama kawa? Yaani bado unataka ushauriwe nini Ndugu? Unadhani hata ukimwambia ukweli ndiyo ataachana na hao wanaume wako? Yaani kweli unapotezza muda kuja kuomba ushauri? Kwa nini usimwamini Muda unapokuwa naye tu ..Jamani sometime tuwe kidogo tunawaza vitu vinavyotuingizia hela khaaaKama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano.
Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education.
Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo iliitumia Kwa kwenda kwao kama slivonieleza Mimi.
Kufuatia kwamba ni siku nyingi tulikua hatujaonana, nilimuomba atakapotoka kwao Tanga kurejea chuoni Mbeya baada ya kua rikizo imeisha apite Dodoma walau tuonane.
Jumamosi hii ilopita ndio alikua anarejea chuoni akawa amepita hapa Dodoma na tuka spend siku tatu pamoja mpaka jumatatu.
Lakin wakati tukiwa pamoja, nili download hacking app ya spycheckup Nika install na kukamilisha settings zote Kwa ajili ya kuanza kpekua texts zake za kwenye SMS, WhatsApp na call history zake.
Wakati Niko nae hakukua na dalili mbaya kwenye simu yake kiasi kwamba nikamuona ni innocent.
Lakin baada ya Tu kuachana na yeye kuelekea chuoni kwao ndio niaanza kushuhudia madudu.
Huyu msichana kumbe kabla ya kuja kwangu alikua Kwa njemba moja huko morogoro na alikaa yapata wiki nzima Kwa jamaa Hilo.
Hili nimelijua baada ya kubaki nampekua kupitia ile hacking app niloitega kwenye simu yake.
Yani nilikua nasoma chatting zake za WhatsApp na SMS, jamaa linamsifia kwamba anaweza kazi na linasema wiki moja alokaa nalo ilikua ndogo Kwa jinc alivokipa mambo adimu.
Kinachoniuma ni jinsi mavompenda huyu binti na tuliko toka ukijumlisha na malengo tulowekeana. Pia nime spend some amounts of money katika kipind chote za mahusiano kwa kujua ndio mke mtarajiwa kitu ambacho kinaniuma Sana mpaka sasa.
Sijamwambia chochote mpaka sasa maana inashauriwa kutofanya maaumuzi wakati WA hasira, but nazid kuumia kila naposoma chatting zake hiku maana ukiachana na Hilo njema la morogoro kuna jamaa mwingne nazani niwa hapohapo chuoni kwao ananilia tunda langu.
Guyz, actually nimekosa cha kuamua. Either nimpige chini nisonge mbele au nimkosoe Kwa anayoyafanya then niendelee nae coz ningali nampenda Sana.
In addition,. Nataka after three weeks nikapime HIV/AIDs maana nilienda peku Kwa binti huyu nilipokua sijui kama katoka Kwa mshkaji mwingine isije ikawa kaniachia na matadhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
aaahhh mwalimu !!!!!Don't mess up with my dick, if u need it I'm ready to **** ur unus.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hiyoooooooohahahahahahahahahahahahahah watu wanajitakia stress za kujiua na kufa na kihoro bila sababu leo hii bado kuna Mwanaume na akili timamu anamuamini kumbe knachoitwa Mwanamke... Really? Hivi kuna mtu alimpenda mwanamke kama Samson? Lakini na kumpenda kwake kote hakumwambia ukweli mara ya kwanza na baadae akaingia kichwa kichwa na kumwambia ukweli unajua kilichomtokea? Eti mtu umeshuhudia kabisa Tanga alikuwa kwa Mwanaume, Morogoro alikuwa kwa Mwanaume, Dodoma amekuletea umekula mzigo , Huko Chuo nako anapigwa kama kawa? Yaani bado unataka ushauriwe nini Ndugu? Unadhani hata ukimwambia ukweli ndiyo ataachana na hao wanaume wako? Yaani kweli unapotezza muda kuja kuomba ushauri? Kwa nini usimwamini Muda unapokuwa naye tu ..Jamani sometime tuwe kidogo tunawaza vitu vinavyotuingizia hela khaaa
PIGA CHINI!Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano.