Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

Nakushauri piga chini huyo Atakuletea shida.Alafu mwanamke usiwekeze sana kwake utaumia...wekeza kwa ajili ya maisha yako
 
Maamuzi yakuendelea au kupiga chini yako mikononi mwako;kwa hali ya kawaida tu huyo hakufai
 
Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano.

Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education.

Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo iliitumia Kwa kwenda kwao kama slivonieleza Mimi.

Kufuatia kwamba ni siku nyingi tulikua hatujaonana, nilimuomba atakapotoka kwao Tanga kurejea chuoni Mbeya baada ya kua rikizo imeisha apite Dodoma walau tuonane.

Jumamosi hii ilopita ndio alikua anarejea chuoni akawa amepita hapa Dodoma na tuka spend siku tatu pamoja mpaka jumatatu.

Lakin wakati tukiwa pamoja, nili download hacking app ya spycheckup Nika install na kukamilisha settings zote Kwa ajili ya kuanza kpekua texts zake za kwenye SMS, WhatsApp na call history zake.

Wakati Niko nae hakukua na dalili mbaya kwenye simu yake kiasi kwamba nikamuona ni innocent.
Lakin baada ya Tu kuachana na yeye kuelekea chuoni kwao ndio niaanza kushuhudia madudu.

Huyu msichana kumbe kabla ya kuja kwangu alikua Kwa njemba moja huko morogoro na alikaa yapata wiki nzima Kwa jamaa Hilo.

Hili nimelijua baada ya kubaki nampekua kupitia ile hacking app niloitega kwenye simu yake.

Yani nilikua nasoma chatting zake za WhatsApp na SMS, jamaa linamsifia kwamba anaweza kazi na linasema wiki moja alokaa nalo ilikua ndogo Kwa jinc alivokipa mambo adimu.

Kinachoniuma ni jinsi mavompenda huyu binti na tuliko toka ukijumlisha na malengo tulowekeana. Pia nime spend some amounts of money katika kipind chote za mahusiano kwa kujua ndio mke mtarajiwa kitu ambacho kinaniuma Sana mpaka sasa.

Sijamwambia chochote mpaka sasa maana inashauriwa kutofanya maaumuzi wakati WA hasira, but nazid kuumia kila naposoma chatting zake hiku maana ukiachana na Hilo njema la morogoro kuna jamaa mwingne nazani niwa hapohapo chuoni kwao ananilia tunda langu.

Guyz, actually nimekosa cha kuamua. Either nimpige chini nisonge mbele au nimkosoe Kwa anayoyafanya then niendelee nae coz ningali nampenda Sana.

In addition,. Nataka after three weeks nikapime HIV/AIDs maana nilienda peku Kwa binti huyu nilipokua sijui kama katoka Kwa mshkaji mwingine isije ikawa kaniachia na matadhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuachia Matadhi!! Ww ni kilaza wa darasani kama upo chuo na utahitimu kwa GPA 35, viwanda tutavisikia kwa majirani kama vyuo ndio hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
thread yako na majibu yako unayotoa....tunatambua ni jinsi gani ulivyo mbumbumbu....kama umeshindwa kuamua nini cha kumfanya huyo mwasherati mwenzio......huko UDOM unafanya nini......umeona sasa jamaa la moro linavyomkula mutoto wa tanga,,, weee umeng'aa macho tuu...mwenzio alishakuacha kitambooo.......endelea kuhack.....
 
ushauri wangu jipime kama wewe uko msafi asilimia 100 ukiona wewe hujawai kumcheat au chukulia kuwa angekuwa ameinstall hiyo application kwake asingekuta kitu huyo muache ila kama wewe pia ni mwizi sema tu hujakamatwa usimuache na uondoe hyo app.....otherwise muache huyo kwa kuwa ana michepuko mi2 then uwe mchepuko wa mwingine na yeye uweke hiyo app kwa simu yake then utupe mrejesho tena ... waaminifu hakuna duniani na kama wapo ni wa muda tu .. kwa mfano kutoka mwezi wa saba mwaka jana mpaka mwezi january sikuwa na mahusiano na mtu yeyote zaidi ya wife niulize now sasa najipanga kuiacha mitatu nirudi utakatifu wangu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijana hana awezalo, mapenzi hawezi na masomo hayawezi!
Sio "mess up with" ni mess with
Na sio "unus"ni anus[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Naona nakuongezea hasira tu mkuu. Pole sana ila hawa wanawake wa sikuhizi ni kwenda nao kwa akili sana. Pole kijana

Ushauri wangu PIGA CHINI HAKUFAI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv kabla ya Kuja humu ulijua lengo la udukuzi wako liwe nin?
 
Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano.

Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education.

Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo iliitumia Kwa kwenda kwao kama slivonieleza Mimi.

Kufuatia kwamba ni siku nyingi tulikua hatujaonana, nilimuomba atakapotoka kwao Tanga kurejea chuoni Mbeya baada ya kua rikizo imeisha apite Dodoma walau tuonane.

Jumamosi hii ilopita ndio alikua anarejea chuoni akawa amepita hapa Dodoma na tuka spend siku tatu pamoja mpaka jumatatu.

Lakin wakati tukiwa pamoja, nili download hacking app ya spycheckup Nika install na kukamilisha settings zote Kwa ajili ya kuanza kpekua texts zake za kwenye SMS, WhatsApp na call history zake.

Wakati Niko nae hakukua na dalili mbaya kwenye simu yake kiasi kwamba nikamuona ni innocent.
Lakin baada ya Tu kuachana na yeye kuelekea chuoni kwao ndio niaanza kushuhudia madudu.

Huyu msichana kumbe kabla ya kuja kwangu alikua Kwa njemba moja huko morogoro na alikaa yapata wiki nzima Kwa jamaa Hilo.

Hili nimelijua baada ya kubaki nampekua kupitia ile hacking app niloitega kwenye simu yake.

Yani nilikua nasoma chatting zake za WhatsApp na SMS, jamaa linamsifia kwamba anaweza kazi na linasema wiki moja alokaa nalo ilikua ndogo Kwa jinc alivokipa mambo adimu.

Kinachoniuma ni jinsi mavompenda huyu binti na tuliko toka ukijumlisha na malengo tulowekeana. Pia nime spend some amounts of money katika kipind chote za mahusiano kwa kujua ndio mke mtarajiwa kitu ambacho kinaniuma Sana mpaka sasa.

Sijamwambia chochote mpaka sasa maana inashauriwa kutofanya maaumuzi wakati WA hasira, but nazid kuumia kila naposoma chatting zake hiku maana ukiachana na Hilo njema la morogoro kuna jamaa mwingne nazani niwa hapohapo chuoni kwao ananilia tunda langu.

Guyz, actually nimekosa cha kuamua. Either nimpige chini nisonge mbele au nimkosoe Kwa anayoyafanya then niendelee nae coz ningali nampenda Sana.

In addition,. Nataka after three weeks nikapime HIV/AIDs maana nilienda peku Kwa binti huyu nilipokua sijui kama katoka Kwa mshkaji mwingine isije ikawa kaniachia na matadhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo huwa yapo tu achilia mbali wewe hujaowa hata walio owa huwa wanapigiawa tu cha msingi ongea nae kwanza ukiona hakuelewi piga chini

Ila pia embu toa madini hapa ulifanyaje fanyaje ukapata chat zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeandika vizuri huenda watu wange focus kwenye jambo uliloleta, badala yake mtu anaanza kuulinganisha upeo wako wa kufikiria na namna ya kufanya maamuzi na vile unavyoandika maandishi yenye kukushusha hadhi.
 
Kama uliamua kudukua simu yake maana yake humuamini, so ya nini ukae roho juu!? Amini nakwambia, kama amekucheat sasa, hata ukimsamehe atakucheat tena na tena. Fimbo ya mbali haiui nyoka, akili kichwani mwako
 
Nashukuru Mimi ktk mahusiano sjawai kuspend kiasi cha pesa Mpaka niumie . Mlishakatazwa kusomesha mademu. Halafu unasomeshea boom. Hauna akili.distance relationship Haijawai kuwa salama. Lazima wajanja wale mzigo
Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano.

Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education.

Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo iliitumia Kwa kwenda kwao kama slivonieleza Mimi.

Kufuatia kwamba ni siku nyingi tulikua hatujaonana, nilimuomba atakapotoka kwao Tanga kurejea chuoni Mbeya baada ya kua rikizo imeisha apite Dodoma walau tuonane.

Jumamosi hii ilopita ndio alikua anarejea chuoni akawa amepita hapa Dodoma na tuka spend siku tatu pamoja mpaka jumatatu.

Lakin wakati tukiwa pamoja, nili download hacking app ya spycheckup Nika install na kukamilisha settings zote Kwa ajili ya kuanza kpekua texts zake za kwenye SMS, WhatsApp na call history zake.

Wakati Niko nae hakukua na dalili mbaya kwenye simu yake kiasi kwamba nikamuona ni innocent.
Lakin baada ya Tu kuachana na yeye kuelekea chuoni kwao ndio niaanza kushuhudia madudu.

Huyu msichana kumbe kabla ya kuja kwangu alikua Kwa njemba moja huko morogoro na alikaa yapata wiki nzima Kwa jamaa Hilo.

Hili nimelijua baada ya kubaki nampekua kupitia ile hacking app niloitega kwenye simu yake.

Yani nilikua nasoma chatting zake za WhatsApp na SMS, jamaa linamsifia kwamba anaweza kazi na linasema wiki moja alokaa nalo ilikua ndogo Kwa jinc alivokipa mambo adimu.

Kinachoniuma ni jinsi mavompenda huyu binti na tuliko toka ukijumlisha na malengo tulowekeana. Pia nime spend some amounts of money katika kipind chote za mahusiano kwa kujua ndio mke mtarajiwa kitu ambacho kinaniuma Sana mpaka sasa.

Sijamwambia chochote mpaka sasa maana inashauriwa kutofanya maaumuzi wakati WA hasira, but nazid kuumia kila naposoma chatting zake hiku maana ukiachana na Hilo njema la morogoro kuna jamaa mwingne nazani niwa hapohapo chuoni kwao ananilia tunda langu.

Guyz, actually nimekosa cha kuamua. Either nimpige chini nisonge mbele au nimkosoe Kwa anayoyafanya then niendelee nae coz ningali nampenda Sana.

In addition,. Nataka after three weeks nikapime HIV/AIDs maana nilienda peku Kwa binti huyu nilipokua sijui kama katoka Kwa mshkaji mwingine isije ikawa kaniachia na matadhi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mistake wengi wetu tunayofanya katika mahusiano tuliyonayo ni kumchunguza tulie naye

Binafsi sijawahi kuwa mtu wa kumfatilia niliye naye kwasababu najua moyo wangu ulivyo na ukweli mchungu wa kujitakia sitoweza kuu-handle

Mi naamini mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kukusaliti..hadi inatokea mwanamke anaenda kulala week nzima kwa jamaa mwingine ni ishara kubwa sana kwamba sio sahihi kwako

Fanya maamuzi
Na angejuaje kwamba sio sahihi kwake bila kumchunguza? Siungi mkono njia aliyotumia ila kuchunguzana muhimu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani haujawahi kuona club kubwa za Mpira wa miguu ina msajili mchezaji kwa gharma kubwa lakini haonyeshi kiwango MF: bebe Manchester united.kinacho fuata club in move on .

Back
Top Bottom