Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Kukosoa uandishi wako mbovu ndiyo kukutolea povu? we kijana unaonekana jeuri usiye na haiba ya kujifunza,
Yaani mimi nije kusoma chuo? tulishapita huko kitambo kipindi kile mwanachuo ni mwanachuo haswa! siyo sasa hata kujieleza hujui na huna tofauti na mhitimu wa darasa la saba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mimi nije kusoma chuo? tulishapita huko kitambo kipindi kile mwanachuo ni mwanachuo haswa! siyo sasa hata kujieleza hujui na huna tofauti na mhitimu wa darasa la saba.
It's better Ku skip post kuliko kutolea mapovu yasio na maana kwangu. Ndio nina uandishi mbovu, now what? Njoo usome wewe badala yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app