Nilichokiona jana kwenye daladala ya kwa Morombo-Arusha

Mkuu simu kwenye kibegi tena!!
 
Mji wa kitalii wenye fursa nyingi kama Arusha usingepaswa kuwa na vibaka na wakabaji.
 
Mimi roho yangu nyepesi mno,siwezi shuhudia mwizi akipigwa.
Hii huruma yangu iko siku itaniponza kama huyo mzee.
Ndio maana gesi haikuishi mkuu..

Wakikupata ndipo hasa.. we huruma itakutoka ..mwizi sio mtu..walimuibia jirani yetu ..wakamtia kichwa Cha mbuzi ya kukunia Nazi mdomoni ili asipige kelele...

Jamaa alikufa vibaya... ...
 
Nilishawahi pigwa tukio back town baada ya kula masanga sasa na mimi siku hiyo mitaa ya idara ya maji nikakuta mwizi anashushiwa kichapo kwa kweli nilimalizia hasira zangu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…