Nilichokiona leo na mbio za mfungaji bora

Aziz Ki afanye jitihada binafsi kama ana nia ya kutwa kiatu vinginevyo sioni urahisi kwake kushinda tuzo hiyo

Badala ya kulalamikia wachezaji wa Yanga, ulipaswa kumshauri aonane na watu wa saikolojia ili wamuweke akili sawa awe na utulivu akiwa langoni kwa mpinzani. Presha imekuwa kubwa sana kwake kiasi kwamba anashindwa kuzitumia nafasi nyingi anazopata.
 
Uwanja kama ule kutengeneza nafasi za mtu kufunga inakuwa ngumu sana.

Ila Mzize na max hata Guede nao Wana malengo Yao angalau wapate digit flani kujiweka katika nafasi nzuri msimu ukielekea mwisho
Ahaa
 
Badala ya kulalamikia wachezaji wa Yanga, ulipaswa kumshauri aonane na watu wa saikolojia ili wamuweke akili sawa awe na utulivu akiwa langoni kwa mpinzani. Presha imekuwa kubwa sana kwake kiasi kwamba anashindwa kuzitumia nafasi nyingi anazopata.
ok
 
Mkuu wewe ni Ahmed Ally? Au una undugu naye?
 
Mpira wa Gamondi ni team work, yoyote anafunga imetokea kapata goal 2 ni jambo jema ila team kwanza kabla ya individual achievements.
 
Msilete za Saidoo kufunga goli tano tano simply ili kujifurahisha kuwa mfungaji bora, haipendezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…