Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
.. kuna wivu na ubinafsi. Aziz Ki afanye jitihada binafsi kama ana nia ya kutwa kiatu vinginevyo sioni urahisi kwake kushinda tuzo hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.. kuna wivu na ubinafsi. Aziz Ki afanye jitihada binafsi kama ana nia ya kutwa kiatu vinginevyo sioni urahisi kwake kushinda tuzo hiyo
Aziz Ki afanye jitihada binafsi kama ana nia ya kutwa kiatu vinginevyo sioni urahisi kwake kushinda tuzo hiyo
Anataka afanywe kama Saidoo😅😅😅mtu atoke na goli 2 useme hakukua na jitiada na mtu huyohuyo achezeshwe dakika 90 we kweli zwazwa!
AhaaUwanja kama ule kutengeneza nafasi za mtu kufunga inakuwa ngumu sana.
Ila Mzize na max hata Guede nao Wana malengo Yao angalau wapate digit flani kujiweka katika nafasi nzuri msimu ukielekea mwisho
okBadala ya kulalamikia wachezaji wa Yanga, ulipaswa kumshauri aonane na watu wa saikolojia ili wamuweke akili sawa awe na utulivu akiwa langoni kwa mpinzani. Presha imekuwa kubwa sana kwake kiasi kwamba anashindwa kuzitumia nafasi nyingi anazopata.
Mkuu wewe ni Ahmed Ally? Au una undugu naye?Pamoja na Aziz Ki kufunga, bado hakukuwa na jitihada na mikakati ya dhati kumtengenezea mazingira ya kufunga zaidi. Dodoma FC walipoteana jumla lakini wachezaji wa Yanga walionekana kuridhika na kutokuwa na njaa na nia ya kunisaidia Ki aweze kuongeza idadi ya mabao.
Inaonekana Yanga hawana mzuka saaana na ishu ya mfungaji bora na/au kuna wivu na ubinafsi. Aziz Ki afanye jitihada binafsi kama ana nia ya kutwa kiatu vinginevyo sioni urahisi kwake kushinda tuzo hiyo
Mkuu wewe ni Ahmed Ally? Au una undugu
HahahahaaaMkuu wewe ni Ahmed Ally? Au una undugu naye?
mh!Anataka afanywe kama Saidoo😅😅😅