rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,238
- 5,106
Nimefika Muhimbili jana muda mbili asubuhi. Nilimabiwa kuna utaratibu mpya. Nilipanga foleni kupewa namba. uipewa namba unapanga foleni kuitwa kupeleka kadi ya bima au kama unalipa cash. baada ya hapo Unapanga foleni kumwona Dr. Ukitoka hapo Unakwenda pharmacy ambayo iko karibu na main gate. napo unapanga foleni kupata namba. unasubiri namba yako kuitwa unapewa dawa. Unakwenda mahabara. Kutoa kipimo ambacho niliabiwa kuchukua majibu siku nyingine. Nikarudi kupanga foleni kwa ajili ya kuchukua kadi ya bima. Sijuhi hawa watu hawajui kwamba wateja wao ni wagonjwa... sijui niutaratibu gani huu. Wakati huohuo bima ya afya hataki kulipa hosp binafsi. Hospt hizo waliowengi wemesitisha kutoa huduma kwa kutumia kadi za bima. Tnaienda wapi??