Nilichokiona muhimbili jana

Nilichokiona muhimbili jana

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3,238
Reaction score
5,106
Nimefika Muhimbili jana muda mbili asubuhi. Nilimabiwa kuna utaratibu mpya. Nilipanga foleni kupewa namba. uipewa namba unapanga foleni kuitwa kupeleka kadi ya bima au kama unalipa cash. baada ya hapo Unapanga foleni kumwona Dr. Ukitoka hapo Unakwenda pharmacy ambayo iko karibu na main gate. napo unapanga foleni kupata namba. unasubiri namba yako kuitwa unapewa dawa. Unakwenda mahabara. Kutoa kipimo ambacho niliabiwa kuchukua majibu siku nyingine. Nikarudi kupanga foleni kwa ajili ya kuchukua kadi ya bima. Sijuhi hawa watu hawajui kwamba wateja wao ni wagonjwa... sijui niutaratibu gani huu. Wakati huohuo bima ya afya hataki kulipa hosp binafsi. Hospt hizo waliowengi wemesitisha kutoa huduma kwa kutumia kadi za bima. Tnaienda wapi??
 
mbona katika gazeti moja la leo wameusifia huo utaratibu?
 
ukiingia wodini ndio utapiga ukunga wa kikwenu kabisa.....hakutamaniki wagonjwa wamelala chini wanakanyagana yaani aibu kubwa
 
Wakati ule madaktari wanagoma tuliona kama wanaendekeza pesa tu kuliko utu.kwa sasa wameamua kukaa kimya, wanafanya wanaloweza, kukiwa hakuna vifaa, wala hawahangaiki, wanasubiri muda wa kazi uishe waende nyumbani, mkilala chini hawajali watakupa dawa zako hapo hapo chini,kama hazipo utaenda kuzitafuta nje.Viongozi wakipita hospitali zinaandikwa risala nzuri za kuipongeza serikali ya CCM kwa kuboresha huduma za hospitali, wanapigiwa makofi, chapter closed.nobody cares nowadays.hii pia ni aina ya mgomo
 
umesema kweli kabisa hali inatisha
 
Nimefika Muhimbili jana muda mbili asubuhi. Nilimabiwa kuna utaratibu mpya. Nilipanga foleni kupewa namba. uipewa namba unapanga foleni kuitwa kupeleka kadi ya bima au kama unalipa cash. baada ya hapo Unapanga foleni kumwona Dr. Ukitoka hapo Unakwenda pharmacy ambayo iko karibu na main gate. napo unapanga foleni kupata namba. unasubiri namba yako kuitwa unapewa dawa. Unakwenda mahabara. Kutoa kipimo ambacho niliabiwa kuchukua majibu siku nyingine. Nikarudi kupanga foleni kwa ajili ya kuchukua kadi ya bima. Sijuhi hawa watu hawajui kwamba wateja wao ni wagonjwa... sijui niutaratibu gani huu. Wakati huohuo bima ya afya hataki kulipa hosp binafsi. Hospt hizo waliowengi wemesitisha kutoa huduma kwa kutumia kadi za bima. Tnaienda wapi??

Usingesema tusingejua pole sana. Hata matokeo ya Form Four yangekuwa ni huduma ya mmoja mmoja kama huko Hospitali isingekuwa issue.

Wanachapa kazi kulingana na malipo Work As You Earn (WAYE)
 
Sijui tuombe au tusiombe yatokee kama yale ya form IV, sijui huku itakuwa kwa style ipi. Napenda nchi yangu.
 
Well said Maubero. Niliwahi kwenda hapo loo wagonjwa wanalala chini na huduma wanapewa wakiwa wamelala chini. Kwa kweli ni aibu kwa serikali. Lakini kama usemavyo wakija viongozi risala za kuwasifia kwa kuboresha huduma ndizo zinazosomwa.
 
Back
Top Bottom