Nilichokiona WASAFI Festival ni tofauti na namna ilivyopromotiwa

Nilichokiona WASAFI Festival ni tofauti na namna ilivyopromotiwa

Jiandae kuporomoshewa mitusi na watoto wa jf coz ukweli hawaupendi, wamefunikwa na wingu zito la ushabiki. Kule insta naona Dada wa Taifa ashachafua hali ya hewa kuhusu umiliki wa share za mond ndani ya wcb. Kaweka document ya leseni ya TCRA watoto hawaamini wanatoa mapovu tu. Wanahubiri mapinduzi ya burudani kumbe ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya. Inanikumbusha mabadiliko ya UKAWA 2015 kuletwa na wazee wa CCM walioifisadi nchi zaidi ya miaka 40. Maajabu hayatoisha Afrika..
yani mange kimambi toka aanze kumsapoti mobetto ndipo nikaanza kumuona kumbe huyu anatafuta umaarufu tu sio activist wala nini.
.
Yule dem ana wivu ana chuki anatamani urembo hana anapata shida sana lile lizungu lazima limeshamfanya mtumwa linamfanya linavyotaka nyuma mbele mdomo linakula.
.
Endelea kuwa kama shoga wote wanaomfuata mange sasa ni marinda zero
 
Nlipenda Mondi alivoimba live changamoto ni moja tu live band inapoa sana haina hamsha dizain mashabiki hawakumuelewa plus uchovu
 
Back
Top Bottom