GoLC
JF-Expert Member
- Jul 10, 2025
- 268
- 466
Ndoto ni kitu cha ajabu sana. Nimeota tunaishi katika dunia mbayo uhalisia haupo tena. Kwamba haya matumizi ya AI sio virtual pekee. Bali uhalisia kabisa. Tutaishi katika dunia ya PROMPTING. Cloning inakuja. Itakuwa ni ngumu kumtambua binafamu halisi na feki. Tunayoyaona kwenye filamu tutaishi nayo.
Nimeota nimezungukwa na maisha hayo. Unaprimpt tu synthetic lako au makazi yako na mambo yanaenda. Ni wazi sisibhatutakuwepo ila watakaokuja nyuma yetu watayashuhudia haya.
Yani unaji prompt hadi wewe mwenyewe. Haitakuwa ni mambo ya ulaya tu bali hata huku kwetu itakuwa normalized. Tutashuhudia "binadamu" watakaokuwa wana stuck na ku scratch kama kwenye kompyuta. Muhimu pawepo na umeme wa uhakika au aina nyingine yoyote ya nishati ya uhakika kuendesha hayo.
Nashindwa kuielezea vyema ndoto ila AI is the new reality