Nilichokipitia leo, kimenipa funzo, na kwa kweli umbea na papara kwenye technolojia sitarudia.

dorge

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
258
Reaction score
393
Natumia simu flan Samsung sasa bana nina tabia ya ku install app mbalimbali. Kurekodi sauti, nk

Sasa kuna app moja sijui ni ya Samsung ama nimeiwekaa bana nika ipa permit iwe on..

Simu imenitesa na kwa sabab ni naitumia kuhudumia watu nje na nsani ya ofsi kila kitu kilienda hovyo.

1000423444.jpg

Tabia zetu za kuset haya mambo mmh sirudii tena
 
View attachment 3285057
Tabia zetu za kuset haya mambo mmh sirudii tena
Sio accessibility setting hio ya vipofu? Ukiweka on inasoma maandishi yote ya simu ili kuwa guide walemavu wa macho.

Bonyeza volume up na down kwa pamoja bila kuachilia kwa sekunde kadhaa itatoka.

Alternative nenda setting kisha accessibility kisha talk back iweke off
 
Unakili r wewe jamaa. Kidgo tu jana niiformat simu jana.

Ila baadae nilituliza fuvu nikapaona nika disable. Ila nitakutafuta
 
Nilingia kwenye accessibility nikaiona talk back maamaae kilinitesa mno
 
Back
Top Bottom