Sio accessibility setting hio ya vipofu? Ukiweka on inasoma maandishi yote ya simu ili kuwa guide walemavu wa macho.Natumia simu flan Samsung sasa bana nina tabia ya ku install app mbalimbali. Kurekodi sauti, nk
Sasa kuna app moja sijui ni ya Samsung ama nimeiwekaa bana nika ipa permit iwe on..
Simu imenitesa na kwa sabab ni naitumia kuhudumia watu nje na nsani ya ofsi kila kitu kilienda hovyo.
View attachment 3285057
Tabia zetu za kuset haya mambo mmh sirudii tena
Shukuru una macho yanaona. Wengine wanayo Ila hayafanyi kazi.Hii app nahisi ni kichaa pekee aliitengeza yaani leo nilimlaani sana
Unakili r wewe jamaa. Kidgo tu jana niiformat simu jana.Sio accessibility setting hio ya vipofu? Ukiweka on inasoma maandishi yote ya simu ili kuwa guide walemavu wa macho.
Bonyeza volume up na down kwa pamoja bila kuachilia kwa sekunde kadhaa itatoka.
Alternative nenda setting kisha accessibility kisha talk back iweke off