Ghost boss
Member
- May 3, 2019
- 33
- 57
Mmmmh! Siku ya kwanza binafsi kuona bajeti ya jumla ya serikali nilimuuliza rafiki yangu xxxx kwamba hivi tutafanikiwa kweli kama ulaya sisi? Niliuliza hivyo bila kuelewa vizuri maana binafsi nilivyoona salaries na wages inaichukua serikali pesa nyingi nilisikitika sana moyoni.
Nilisikitika baada ya kusoma tena pesa iliyotengwa ya maendeleo niliona pesa ya maendeleo ni ndogo kuliko kiwango ambacho serikali inalipa mishahara watumishi wake, hii niliona ilikuwa bajeti ya 2015 to 16 nilisoma sana nilisikia huzuni moyoni bila kujua vizuri, nilisahau kitu kimoja kuwa maendeleo pia huletwa na watu nilifikiri pesa zinapotea tu kulipa watumishi mabillion ya shilingi wakati maendeleo imetengewa pesa kidogo.
Niliwaza kwamba ingekuwa heri pesa za mishahara zipunguzwe ili tufanye maendeleo, kwakweli Mimi ghost boss sikufahamu kwakweli kama maendeleo pia huletwa na watu, sikujua kuwa kama tutafanya maendeleo ya vitu mbali mbali itabidi tuite wakandarasi kutoka nje ya nchi nao tutawalipa pesa ambazo izo pesa zitakwenda kutumika kwenye mataifa yao hivyo kuifanya nchi yao au zao kuendelea zaidi wakati huo ndani ya nchi pesa inakosekana kwenye mzunguko na kufanya hali za biashara kushindwa kuendelea vizuri na zingine kufa
Sikujua kama nikitaka zile pesa za mishahara zipungue basi watu wasiajiliwe na watumishi wasiongezewe mishahara nasikujua pia ili pesa zipatikane zaidi itabidi kodi ikusanywe sikujua kuwa kodi inapokuwa kubwa itasababisha mfumuko Wa bei ambao watu wasio na ajira na wenye biashara ndogo lazima walionje joto la jiwe.
Kitu nilichogundua katika Yale mawazo yangu nikuwa pesa ya kulipa watu ikiongezwa nikiwa namaana kuwa wasomi wapate ajira na uhaba wawatumishi uzibitiwe ili pesa zibaki ndani kwenye mzunguko ili kwa MTU anayefanya biashara aionepesa inayoshuka kutoka katika serikali na kwenda kwa watumishi ambao wao watazipeleka kwa wafanyabiashara watakao kuza biashara zao na kupanua wigo kwa serikali kukusanya mapato mengi zaidi kutoka kwa watumishi na wafanyabiashara ambao wanakuwa na wanaokuwa, pesa za maendeleo ziwe za kadri kwakuwa watu wakiendelea kunabaadhi ya vitu uvifanya mfano watafungua mahospitali makubwa na bora na kwasababu za ushindani Huduma zitakuwa bora na nafuu kuliko serikali kuubeba mzigo wrote peke yake na pia ajira zitatengenezeka hapo.
Pia wafanyabiashara watakao kua watawekeza pia kwenye usafiri Wa majini, nchikavu na angani napia kutakuwa na wazalisha bidhaa hao watazalisha kwa wingi na ubora hivyo kufanya kuwe na variety of choice na kufanya hata bidhaa za ndani kuuzwa nje hii itasaidia kukuza GDP na kwakupitia biashara kufanyika kimataifa basi uchumi kutengamaa maana pia tutakuwa na pesa nyingi za kigeni pia ambazo tutapokea.
Binafsi awali sikuelewa nilipoona bajeti ile ya serikali kupeleka pesa nyingi kwa wananchi kupitia mishahara....
Ninamengi ya kusema ila ngoja niishie hapa..