Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Majeruhi: Money penny bwana, nilikutananna wajinga flani hivi hapa dar wakataka kunitapeli ili wanile kilaini
Money penny: doh, wamefanyaje
Majeruhi: mjinga wa Kwanza alinichunguza wee akajua weakness yangu ilipo, akaomba kuvaa utajiri ili anipate
Money penny: enhe
Majeruhi: akaniaminisha Kwa kunipigia kutwa mara 4, mara anipE gari yake nitumie, Kwa kuwa Nina Mungu akapatikana padogo Sana, nilimnyima utamu akaanza kusepa mwenyewe
Money penny: na WA pili alifanyaje
Majeruhi: WA pili nae akaja mdogo mdogo bwana, Hana haraka ila anazo haraka
Akaanza kutumia neno We,
Tutaenda kanisani, tutakutana jioni, tutaishi pamoja, tutashirikiana pamoja
Nikambana padogo Sana, nikamwuliza bro unapenda michezo ya sodoma?
Jamaa akasema hapana sio tabia yangu, ila ukinipa nitanyonya Tu na kushika shika labda kuweka ulimi kidogo
Ndio safari ikaishia hapo
Money penny: doh pole Sana kwahiyo hamna aliekutafuna??
Majeruhi: hamna hata mmoja wote waliamsha wenyewe
Waambie watoto wako na hao unaowaandikia HADITHI kuwa, mwanaume yeyote akija Kwa spidi za kutaka kukuoa na uchumba WA muda mfupi sio muoaji
Mwanaume yeyote anaekuja kwako anakushika shika makalio Huyo sio muoaji NI kampuni ya sodoma na gomora
Money penny: sawa watasikia