Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Wewe kweli si mtu wa mchezo mchezo.Katika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
π
Teh Teh Teh Teh usisahau kutupa mrejesho wa majibu ya baba mkwe baada ya kusoma msg yako aseeKatika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
π
Kwenye keyboard 'F' na 'L' zipo mbali kweli. Ila tafuta kirefu akikuuliza unampa kirefu chake.[/QUOTE
Atakua kaset prediction mkuu....na hilo neno FALA atakua analitumia mara nying kwenye conversation zake
Katika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
π
kamwe mtu hawez kukosea badala ya kuandka lala aandike fala coz "L" na "F" hazipojirani kwenye keybord !! wadanganye vilazer wenzio. kajipange upya.Katika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
π