Nilichomwandikia ba mkwe Wassap!

Nilichomwandikia ba mkwe Wassap!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Katika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
🙂
 
Hahaha subiri jibu lake km sio kunyang'anywa jiko.
 
Katika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
🙂
Teh Teh Teh Teh usisahau kutupa mrejesho wa majibu ya baba mkwe baada ya kusoma msg yako asee
 
Kwenye keyboard 'F' na 'L' zipo mbali kweli. Ila tafuta kirefu akikuuliza unampa kirefu chake.
 
Kwenye keyboard 'F' na 'L' zipo mbali kweli. Ila tafuta kirefu akikuuliza unampa kirefu chake.[/QUOTE

Atakua kaset prediction mkuu....na hilo neno FALA atakua analitumia mara nying kwenye conversation zake
 
Katika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
🙂
Katika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
🙂
kamwe mtu hawez kukosea badala ya kuandka lala aandike fala coz "L" na "F" hazipojirani kwenye keybord !! wadanganye vilazer wenzio. kajipange upya.
 
Back
Top Bottom