Nilichoshudia leo kwa wanawake wanaojiuza

dracular

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
769
Reaction score
1,069
Marry Christmas to everyone in here..
Jamani mwenzenu nilikuwa siamini kama biashara ya ngono huwa hipo.. Karibu na hapa napoishi kuna sehemu maarufu sana kwa biashara hiyo ya ngono basi nikajisemea lazima leo nikanunue mmoja wapo ili nipate experience kidogo kuhusu biashara hiyo.
Nikajongea taratibu mpaka eneo la tukio na maana nikaona wanawake wengi wa kila rika wakiwa wamevaa nusu uchi..

Basi nikaangalia nani mwenye matak* makubwa kuliko wote ili niinjoy nae katika utafiti wangu.. Mashalaah nikaona dada flani hivi age yake ni kama 28 hadi 32 nikamsogelea na yeye alivyoona tu namsogelea akanifata na kuniambia kaka part time ni elfu 4 sikutaka ku bargain sana nikamwambia poa ila twende kwangu huwezi amini alikataa katakata nikamwambia basi poa kwahiyo tutafanyia wapii?

Yule dada akanionesha kachumba ambacho kapo karibu kabisa na lile eneo nililomkuta.. Nikamwambia basi poa nikampa elfu 4 yake .. Tumefika pale yule dada akatoa condom na akaniambia niingie kwenye ki chumba kile kicho na giza. Daah yani nimeingia tu na kukuta njemba kama 4 hivi zinakula mzigo mule ndani, yule dada aka huku a kitu Kama kigodoro flani hivi akatandika chini kisha akapandisha juu ki skirt chake( kumbe hawavaagi pichu??). Akaniambia toa dushe nikuvishe ndom tufanye huku akiwa anajiandaa kulala kifo cha mende.. Nikamwambia sijaridhika na haya mazingira basi we chukua tu hiyo hela na ahsante kwa uhuduma.. akaanza ku shout eti "Monica mteja wangu kasusa" mi nikatoka na kurudi zangu geto na kunawa mikono na sabuuni na maji tiririka maana nilimshika papuchi kwa bahati mbaya..

Onyo: Tuendelee kuchukua tahadhari UKIMWI upo..
 
Ko ulitaka upige Malaya siku alio zaliwa yesu...any way umeokolewa na roho ya mwanakondoo...ngoja nkupe story yangu..Ila huwa mnapenda sana hiz uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…