Nilichostaajabu wakati nakula bata nchi za SADC

Nilichostaajabu wakati nakula bata nchi za SADC

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau.

Tutaongea sana ila amini usiamini viongozi wetu ndio wachawi ndio wanaotufanya vijana wengi tusifanikiwe kwa vitu vidogo vidogo tu ambavyo wanatubania.

Kipindi cha mzee wa RUKSA kila kitu kilikuwa RUKSA ndio maana yule mzee Mungu amemjalia maisha marefu sana,sababu alikuwa mkunjufu wa moyo na msafi wa nafsi.

Viongozi wanapaswa kujifunza kwa mzee Mwinyi kutokuwa na roho mbaya. Hii nchi yaani hata lecturer wako anakuombea ufeli utasikia mwaka huu hii kozi lazima niondoke na shato mbili😂😂😂😂 hata ukifaulu anakuombea usipate kazi ,hii nchi watu wake wa ajabu sana.

Twende kwenye uzi wenyewe sasa, bro hauwezi amini nchi za kusini huko watoto wadogo wanamiliki passport ,unakuta katoto ka shule kana passport ya kusafiria lakini bongo kuipata passport ni ishu kama unafukuzia demu wa mjumbe wa nyumba kumi.

Kwa nini passport isiwe accessible kwa wananchi wote kama vile cheti cha kuzaliwa.

Kuna kipindi nilitaka kusafiri kwenda kuomba document niliulizwa maswali kibao bahati cheti changu cha kuzaliwa kilionyesha nimezaliwa Kino siunajua mzee.

Nashauri serikali ipunguze ada ya passport iwe hata 25,000/= wawape vijana uhuru wa kutoka nje kwenda kuangalia channel wasiwafungie kama kuku.
 
Kama Batirda Buriani (sijuhi kama nimeandika jina lake kwa usahihi), Mkuchika, nk, bado ni watumishi wa umma tegemeo yaani hakuna mbadala wao unadhani kuna sehemu ya kupenyeza fikra mpya...
Nimemuona Kitilla Mkubo BBC hata "angle ya kamera" kuiweka vizuri kashindwa....bila shaka hana msaidizi kijana wa kumuelekeza haya mambo ya kidigitali...
Mbowe bado anapambana na kivuli cha Jiwe huko mikoani, miaka yote aliyokuwa "gereji" hakuwahi kubuni kitu kipya cha kuwaunganisha watu wake...

Nafasi za ajira zilizotangazwa 8000 elimu nasikia waombaji wamefika laki kadhaa...ukute kuna "graduate" ana miaka 5 bado anasubiri kuajiliwa(aibu hii jamani)

Viti maalum form IV super failure ilibaki kiduchu aukwae uRAS...hahahah!
...kutazama maajabu, biashara nayo makaziiii....Tanzania, Tanzaniaa...naku...!.
 
Back
Top Bottom