kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 456
- 833
kwamba mwamba amefunga kanga na jitumbo lake anacheki TV uliomnunulia manzi! hii nchi inamambo mengi sana ya kusisimua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isevya maeneo gani dingi.Aseee wazee wa isevya tukutane wapi
Kwa kusoma comments zako nimegundua bado utoto na ujinga vinakutawala.
Sorry, ila kweli una ushamba flani wa kisukuma sukuma hivi
Unaenda mahali tena Boss mzima humfahamu vizuri manzi, hujamchunguza hata kidogo tayari unamkodia chumba & full furnished, kama ni Malaya na umezidiwa si ungemalizana nae lodge huko?
Unapasua TV ndio ilikutuma umtafute huyo Malaya?
SWALI : Mfano huyo Malaya angekupasulia chupa ya bia kichwani au huyo jamaa uliyemkuta ndani angechukua tu kisu akuchome kwa kujihami, je wenzako na jamii ingekuonaje?
Think Beyond.
We jamaa huna akili
isevya kulikuwa na masheikh mchana jida, usiku ni majambazi.Wewe unajua kuwa kule Tabora ndio chimbuko la majambazi na wezi sugu?