Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Kwa nini wewe unaumia kwa pesa yangu?

Ulitaka nikupangishie wewe? Sometimes its better to mind your own business ...take your shit advice and shove it up your as*. Pesa yangu,ubwege wangu,kuibiwa nimeibiwa mimi,uzi wangu,nmeandika mimi.... Wewe tu unaumia for nothing ambacho kinakuhusu. Bas njoo wewe pia nikulipie halafu uni cheat...

binadamu mna wivu na chuki. Unamwonea wivu jimama na kutamani ningekufanyia hivyo.halafu unanichukia mimi kwa kutokukubali😁😁😁😁

Kwa kusoma comments zako nimegundua bado utoto na ujinga vinakutawala.
 
Kwa nini wewe unaumia kwa pesa yangu?

Ulitaka nikupangishie wewe? Sometimes its better to mind your own business ...take your shit advice and shove it up your as*. Pesa yangu,ubwege wangu,kuibiwa nimeibiwa mimi,uzi wangu,nmeandika mimi.... Wewe tu unaumia for nothing ambacho kinakuhusu. Bas njoo wewe pia nikulipie halafu uni cheat...

binadamu mna wivu na chuki. Unamwonea wivu jimama na kutamani ningekufanyia hivyo.halafu unanichukia mimi kwa kutokukubali😁😁😁😁

Ukiamua kukaa na malaya mpaka kufikia kujifanya umekuws USAID basi ukianza kutaka kuonana nae au kwenda kambi uliyompangia hakikisha unampa taarifa masaa kuanzia 12 kabla kuepusha mabalaa! Maana hapo ungeweza hata kudhuru mtu ukajikuta umekosa mwana na maji ya moto,jela hiyoooooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…